Total Pageviews

Monday, June 3, 2013

KITCHEN PART YA FLORA MVUNGI YAFANYIKA LEO PICHA ZIPO HAPA

Kwajina anaitwa flora mvungi ni superstar kwenye tasnia ya movies tanzania ,Flora ambaye anatarajiwa kufunga harusi na mwana muzikiwa bongo na leo Flora amefanyiwa kitchen part leo na hizi ndio baadhi ya picha za kitchenpart hiyo

MASHINDANO YA KISSING CHINA:WANAWAKE WAZIMIA BAADA YA KUKISS KWA MUDA MREFU

Mashindano ya kukiss kwamda mreru yaliyo fanyika huko china ya zua kizazaa baada ya wanawake kuzimia kwa kukisiana kwa muda mrefu
huyu kwa style yake amkunja mpenzi wake kwelikweli iliwaweze kushinda
huyu nae mguu begani hukukashika kiuno duuuuu
Huyu aanua miguu kuizungushia kwanyuna chezea hela weyeeeeeeee
baada ya kises kuwa nyingi na mikunyo mikali ndipo wanawake wale walipo anza kuzimia
wasamaria wema wakitoa msaada wa kuwapeleka hospitali
           Ikumbukwe kua shindano hili liliandaliwa kumpata mshindi ambaye anaweza kukiss kwa muda mrefu na alitakiwa kupata kitita cha shilingi million 15 za kitanzania lakini sio tu kukiss kwa mudamrefu bali na kwa style tofauti.

ANGALIA PICHA 5 ZA UCHEZAJI HUU JE UNAFAA KATIKA JAMII YETU?????

Hawa wanaitwa  kanga moja laki sio pesa hawa walikua na aina yao ya uchezaji ya kujifunga kanga moja nyepesi alafu inamwagiwa maji nakufanya maungo yao kuone kana .Kundi hili juzi juzi lilifungiwa na serikali kwani kwani lilikua nikama la udhalilishaji na hasapale ambapo walikua wanacheza hatambele ya watoto na kitukingine lilikua ni kichochezi kukubwa changono kwani kwa jinsi walivyo kua wanacheza ilikua ni lazma mwanaume utamani.TOA MAONO YAKO KUHUSU USHWZAJI HUU