Total Pageviews

Wednesday, May 29, 2013

HII NDIO TAARIFA YA JOHN MAGUFULI KUHUSU KUGOMBEA URAIS 2015

Siku chache baada ya waziri wa Africa masharik Samuel sitta kumhusisha waziri wa ujenzi John Magufuli kugombea urais 2015,Waziri huyo ameibuka na kupinga kauli hiyo kwa kusema kua hakuwahi kufikiria kitu kama hicho.

   Waziri wa Africa mashariki alinukuliwa akiwataja mawaziri wenzake ambao wata gombea kiti hicho cha urais ni yeye Samuel sitta,Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Bernad Membe,Waziri wa uchukuzi Dr,harrison mwakyembe ambapo sitta alisema watachagua mmoja kati ya hao ambaye atagombania urais mwaka 2015.Alisema hayo juzi kwenye kongamano katika nyanja za digitali kwa wanafunzi wa mawasiliano wa st augustino{SAUTI}

     Alisema hato gombea tena ubunge baada ya kua katika ulingo kwa miaka 35 na ataangalia namnanyingine ya kuwatumikia wana nchi na ndipo alipo gusia suala la uraisi na kusema anamuachia mungu alisema SAMUEL SITTA

      Kauli ya waziri wa ujenzi John magufuli akiwa nje ya jengo la bunge dodoma alisema kua hana mpango wakugombea urais na hajui lolote kuhusu mchakato wa urais na haelewi kauli ya waziri mwenzake huyo.

      Magufuli alisisitizia kua hana kundi na hajawahi kuhudhuria kikao cha kundi lolote na hatarajii kua na kundi lolote.Ninachojua kundilangu ni CCM na mwenyekiti wake ni jakaya kikwete.

       JE KATIKA LISTI ILIYO TAJWA HAPO JUU YA WAGOMBEA URAIS UNADHANI YUPI ANAWEZA KUICHUKUA NCHI KAMA AKIPEWA NAFASI???
         TUANDIKIE COMMENT ZAKO HAPA CHINI KWA YEYOTE ULIYE SOMA HII POST NA KUIELEWA

UPO UWEZEKANO WA KUPATA RAIS MWANAMKE,2015???????

Kuelekea chaguzi mkuu 2015 ambapo raisi aliyekua mabarakani mweshimiwa JAKAYA MRISHO KIKWETE ndipo utakua mwisho wa utawala wa mweshimiwa kutokana na katiba ya Tanzania ambapo rahisi anatakiwa kutawala kwa kipindi cha awamu mbili alafu kuachia madaraka. kwa raisi aliyekuwepo tunaona ndo anaelekea mwisho wa utawala wake
Kumekuwa na maswali mengi kuhusu jee Tanzania itaweza kutokea raisi mwanakee ni swali ambalo wengi walikua wana jiuliza na bado hawana majibu lakini kwa uchunguzi ulio fanywa na bongo info inaonekana nivigumu kuwa na raisi mwanamke kwasababu mbali mbali zilizo tolewa na waheshimiwa mbalambali kama walivyo eleza hapa chini

MBUNGE WA GHANDO {CUF}Alisema kwamba nikujidanganya kwamba Tanzania itakua na raisi mwanamke kuelekea 2015 anasema pamoja na wanawake kupewa kipaumbele kwenye uwanja wa siasa hakuna jitiada za wazi zinazo onyeshwa na wanawake kutaka kugombea uraisi .Napia akaongeza kua mfume dume uliopo pia unachangia kuwanyima wanawake fursa hiyo ya kugombea uraisi na haoni na hadhani kama kuwa na mgombea mwanamke

NAYE WAZIRI WA ARDHI,NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI,PROFESAR ANNA THIBAIJUKA,Alikiri kuwa hadi sasa hakuna juhudi za wazi kwa wazi kwa mwanamke kuchukua kiti hicho cha urahisi ifikapo 2015

Alisema hayo kutokana na ukweli kwamba hakuna aliyejitokeza wazi wazi kutaka kugombea lakini akamaliza kua wenye uamuzi wakuamua iwehivyo ni wananchi

Lakini akasema kwamba tangu raisi Jakaya Kikwete aingie madarakani amekua anahakikisha kua wanawake wanapata nafasi za juu katika nyanja ya kisiasa na zakiserikala

ZIJUE SHOW ZILIZO PANGWA KUFANYIKA TAREHE 30 LAKINI ZIMEGHAIRISHWA KUTOKANA NA MSIBA:

     Rapper joe makini kutoka A town akiwakilisha river camp na akiwa chini ya compuni ya weusi alikua na plani ya kuachia single yake mwisho wa mwezi huu yani tarehe 30,5,2013 ametoa new info na info ambazo bongo info imezipata kutoka kwa joe nikwamba hatoweza kuachia tena hiyo single yake kutokana na msiba mkubwa ulio likumba taifa na tasnia ya muzik wa bongo flaiver wa kufiwa na msanii na rapper mwenzao ALBERT NGWEAR.
            kutokana namsiba huo umemlazimu joe kustop ku release hiyo single yake ambayo ilikua inasubiriwa kwa hamu na mashabiki wake na kuwaambia mashabiki wake single hiyo ata irelease rasmi baada ya msiba kuisha R.I.P   ngwear.







                  Na kwaupande mwingine wasanii mbalimbali waliokua wanatakiwa kufanya show zao mwisho wa mwezi huu wamelazimika kuzi ghairisha kutokana na kuondokewa na msanii mwenzao kwenye game hii ya music wa bongo.
                  Hapa nazungumzia kundi la KIKOSI CHA MIZINGA ambao walikua wafanye show yao pale msasani club tarehe 30 ya mwezi huu wamelazimika kughairisha show yao kutokana na msiba huu mzito.Ikumbukwe show hiyo ya kikosi ilikua ni yakutimiza miaka 13 ya kikosi

                Naye rapper mwingine wa hapa bongo amelazimika kughairisha show yake ambayo alikua ameipa jina la "THE FINEST"  hapa namzungumzia mwana falsafa au unaweza kumuita MWANA FA.show hii ilikua ifanyike tarehe 30 ya mwezi huu pale club 71 iliyopo maeneo ya tegeta.kutokana na msiba huu umemfanya FA kughairi show hiyo na bado haijafahamika itakua ni lini

      FOR MORE INFO STAY HERE AT BONGO INFO.COM

HAYA NDIO MANENO YA JIDE BAADA YA KIFO CHA NGWEA KUHUSU ILE SHOW YAKE YA KUTIMIZA MIAKA 13

                           Ile show kubwa ya mwana dada {bint machoz}lady j dee ya kutimiza miaka 13 ambayo ilipangwa kufanyika kwenye mgahawa wake pale nyumbani lounch mnamo tarehe 31 mwezi huu.
                            hii show imehairishwa rasmi na mwana dada huyo mkongwe wa muziki huu wa bongo baada ya kuondoka kwa mkongwe mwingine wa mziki huu Albart mangwea na kutokana na hali hii imekua vigumu kwa hiyo show kuendelea kama ilivyo kua imepangwa na imebidi ihairishwe hadi mazishi ya ngwea yatakapo fanyika then ndipo hapo ita tangazwa upya itakua tarehe ngapi. 
               REST IN PEACE NGWEA
lets say AMEN TO HIM

UJUMBE MZITO WA MAJAN KUHUSU KIFO CHA NGWEAR

najua hapo ishaeleweka