Total Pageviews

Tuesday, May 28, 2013

R.I.P ALBART NGWEAR

Kwahabari zilizotufikia kutoka pretoria south africa ambako msanii albart mangwea alikua huko na msanii mwemzake M2THE P
Zimetufikia habari mbaya kwamba msanii mkongwe wa muziki huu wa bongo fleiver ilikutwa amefariki baada ya kuji over doze madawa na mwenzake akiwahoi na kakimbizwa hospitali.
 Ikumbukwe walikua katika jiji la pritoria. fuatilia blog hii kwa info zaidi
      Mungu ailaze roho ya ngwear mahali pema peponi

MPENZI WA DR SLAA ASHINDA KESI YA TALAKA

Dar es salaam,mpenzi wa katibu mkuu dr Willbrod slaa Josephine ameshinda rufaa ya kesi iliyofunguliwa na aliyekua mumewe wa ndoa Aminiel mahimbo
     
             Josephine kwa sasa anaishi na dr slaa na wameshafanikiwa kupata mtoto mmoja,lakini harakati zao zakufunga ndoa zimekua ngumu baada ya kupingwa na mbunge wa viti maalumu wa chadema Rose kamili akidai kua anandoa halali na dr slaa.

          Mahimbo alikata rufaa katika mahakama ya wilaya ya kinondoni akipinga hukumu ya mahakama ya mwanzo ya sinza iliyo toa talaka kwa josephine dhidi yake mwaka 2012
          
        Hatahivyo kesi hiyo ilisikilizwa tena jana hakimu Aniseth ilitupilia mbali rufaa hiyo nakusema amerithika na  fufaa ya mahakama ya mwanzo ya sinza na kusema kulikua na ushahidi wakutosha wa utoaji wa talaka 
hiyo

        source mwananch news paper 28,2013