Bara la Afrika ni bara la pili kwa ukubwa na ni bara ambalo limebarikiwa na mwenyezi mungu kwani lina kila aina ya madin na rasilimali nyingi sana tena zile muhimu za kujenga uchumi wa nchi lakini chakushangaza hil ibara la kwanza kuwa na rasilimali nyingi ndio limekuwa lamwisho kuwa na uchumi mbovu kuliko mabara yote.
Bara la afrika kwa kiasi kikubwa linakabithiwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe kwani chanzo kikubwa cha hizo ugomvi ni rasilimali tulizokua nazo kwakuthibitisha hilo tunaweza kuangalia nchi mbalimbali za africa kama vile NIGERIA ni nchi ambayo imebarikiwa kua na mafuta nchi nyingine ni DEMOCRATIC REPUBLIC OF CONGO,hii ni nchi ambayo miaka ya nyuma kabla hawaja anza vita ndio ilikua inadhaniwa kuja kua yakwanza kwa kua na maendeleo makubwa zaidi lakini chakusikitishwa leo ndio karibia ya mwisho kwani nchi hii ni vita kilasiku kwani wana utajiri mkubwasana wa madini
Tanzania yetu sasa, duniani ni nchi ambayo imebarikiwa kuwa na rasilimali nyingi lakini bado nchi yetu kiwango chaukuaji wa uchumi ni kidogo sana na kwa sikuzakaribuni imekua ishaanza kuingiliwa na pepo lisilojulikana ni la dizain gani kwani kwasiku za karibuni kumekuwa na sintoeleweka hasa kusini mwanchi kwani kumekua na machafuko na kikubwa ukiangalia chanzo ni rasilimali zetu wenyewe kwani hili eneo limegunduliwa lina kiasi kikubwa cha gas na inaubora mzuri kama ile ya urusi
sasa swali ni je hizi rasilimali zetu zitatupeleka wapiiii?????
Raisi museven alipo kua anazindua mradi wa kuchimba mafuta katika ziwa natron alitoa speech ndefu sana nakueleza nijins igani rasilimali zinavyo weza kugawa nchi na bara kwaujumla.
picha hapojuu ni machafuko ya hivi karibuni yaliyo tokea kule mtwara chanzo ni rasilimali.tukumbuke hata sudani hali ilikua hivihivi hadi wakafika kugawana nchi yao na sisi tusipo angalia hali itafika huko
MUNGU IBARIKI AFRICA MUNGU IBARIKI TANZANIA
Total Pageviews
Monday, May 27, 2013
INASIKITISHA SANA KWELI HUJAFA HUJA UMBIKA
kwajina anaitwa EMMILY asiliyake ni huko mtwara kusani mwa tanzania ndipo alipo kulia na kusomea huko hadi kidato channe ambapo alimaliza mwaka 2009 ndipo alipo feli na kuamua kuja jijini dar kwa mama mdogo wake ambapo mama mdogo wake huyo alimuahidi kumuendeleza kimasomo ndipo wazazi wake wakamruhusu kwasababu walikua hawana uwezo wakumuendeleza . Emmily alienda katika jiji hilo la dar ambapo alikua anaishi Mwenge kwamda tokea atoke kule mtwara kwasababu mamayake yule mdogo biashara alizokua anafanya zilikua haziendi vizuri ndipo Emmily alikua nyumbani akisubiri kwa hamu kurudi shuleni lakini kipindi anasubiri hayo ndipo alikua anapata majaribu memngi hasa yale ya kutongozwa na wanaume mbalimbali kwasababu alikua mzuri sana.Emmily alichoka kua mpweka na kuamua kumkubali mkaka aliyekua anamsumbua kwa mda mrefu lakini walikubaliana kuwa na uhusiano bila ya kufaya mapenzi na walifanikiwa kukaa katika hali hiyo kwa mda wa miezi sita lakini yule kaka alishindwa na kuanza kumbembeleza Emmily lakini Emmili alikua hayupo teyari kufanya tendo hilo kwani aliamini wanaweza kuishi bilakufanya hivyo hadi watakapo oana.
Ilikua nisiku ya jumamosi ndipo mpenzi wake na Emmily alipo muomba waende out na Emmily kwenda kumuomba mama yake mdogo na kumruhusu ndipo walipo enda club maarufu na kukaasehemu ya pekeyano.Mezani kulikua na vinyaji vya aina nyingi lakini Emmily alikua sio mtumiaji wa vilevi lakini yule mpenzi waka alimshawishi sana Emmily kunywa hata kidogo na ndipo alikua anamywesha kidogo kidogo hadi Emmily akafanikiwa kunywa chupa mbili za bia nakuanza kupata stimu na nyingine kuanzakunywa mwenyewe hadi kufikisha tatu ndipo Emmily alipo lewa na ilikua ishafika majira ya saa 8 ndipo waliamua kuondoka nakuchukua tax hadi kwa boyfiendi wake na Emmily na walipo fika Emmily alianza kumshawishi yule boy wake wafanye mapenzi hatakidogo na boy wake kukubali kwani yeye alikua hajapanga kufanya hinyo kwani alijua kufanya hivyo kunge mchukiza mpezi wake
Ndipo alizidi sisitizia boy wake na kufanya bila hatakutumia condom na ndipo Emmily alipo jua kumbe pombe ni shetani kwani alifanya kitu ambacho hakupenda kufanya.
Zikapita kama siku tatu ndipo boy wake akamtumia sms inasomeka ANZAKUISHI KWA MATUMAINI KWANI MIMI NIMEATHIRIKA NA UKIMWI
Emmily hakuamini kwani niugonjwa ambao alikua anausikia kwa watu na hakuwahi kufikiria kuja kuupata{hujafa hujaumbika} Emmily alijifungia ndani kwasiku tatu na ndipo alipo amua kudhibitisha na kwenda kupima na majibu kweli yalikuwa yanaonyesha Emmily ameathirika na gonjwa la UKIMWI na yule boy wake alihama mji na kwenda kuishi Arusha.
Emmily akaamuakumpigia simu nakumuuliza kwann alimfanyia hivyo na kumjibu yeye mwenyewe aliambukizwa na dada flan so alikua anatafuta wakufa naye kutokana na kauli hiyo ilimuumiza sana Emmily kwani ndo ilikua marayake yakwanza na ndipo alipo amuana yeye kutafuta wake wakufa nao
Emmily alianzakuwakubalia hata wale ambao aliwakataaa ana hata kudiriki kutembea na mbaba mtumzima mwenye wake wa 3 kwani huyo mzee alikua anamsumbua sana na siku hiyo mzee alikubaliwa alifurahisana nakuamua kumpa laki 6 kama zawadi wakati huo Emmily ana waonea huruma wakezake kulenyumbani kwani watapata ugonjwa ambao hauwahusu.
Hadi mwezi mmoja unaisha Emmily alikua kesha tembea na wanaume 1500 wa hapa dar na alikua na uhakika kawaachia hilo gonjwa kwani alikua mzuri sana na kwakumwangalia kwa macho ilikua ni vigumu kujuakama ni mwathirika wa ukimwi.Emmily aliweza kutimiza idadi hiyo kwani kwasiku alikua anaweza kutembea na wanaume wa 5 na chakusikitishazaidi ni vijana wadogo sana ndio alikia anatembea nao
Kwasasa Emmily kaokoka na kakabithi maisha yake kwa yesu kwani kesha acha kusambaza hilo gonjwa na maranyingi huwa ana umia sana kwani kesha zika watu kama wa 4 ambao alitembea nao na anakuaanajua fika wamekufa na chanzo ni yeye
Emilly alipo okoka aliombewa na kutolewa mapepo mengi hadi wachungaji wakashangaaa
Emmily anasema tokea aokoke hajawahi kufanya mapenzi tena na hayupo teyari kuolewa kwan kunawanao taka kumuoa kwani hawajui kana ana ukimwi na hasa anawahasa nyie wa baba wenye waka ,wenye wachumba,wakezawatu tulieni acheni kutoka nje ya uhusiano mliokua nao kwani mlikubaliani nyie ni washida na raha
Fuata unachofundishwa kanisani na soma sana bibilia na uwemtakatifu
MUNGU AKUBARIKI
NI MIMI EMMILY
Mwenge,dar es salaam
TANZANIA

EMMILY ANA WOSIA KWA WOTE WANAO SOMA HII STORY YAKE.Emmily anapenda kuwaambia na muwaambie na wengine kwamba KUNYWA POMBE, KWENDA DISKO,KUUZA POMBE NI DHAMBI NA CHOCHOTE KILE KINACHO HUSU DHAMBI NI DHAMBI
Emmily anasema tokea aokoke hajawahi kufanya mapenzi tena na hayupo teyari kuolewa kwan kunawanao taka kumuoa kwani hawajui kana ana ukimwi na hasa anawahasa nyie wa baba wenye waka ,wenye wachumba,wakezawatu tulieni acheni kutoka nje ya uhusiano mliokua nao kwani mlikubaliani nyie ni washida na raha
Fuata unachofundishwa kanisani na soma sana bibilia na uwemtakatifu
MUNGU AKUBARIKI
NI MIMI EMMILY
Mwenge,dar es salaam
TANZANIA
Subscribe to:
Posts (Atom)