Total Pageviews

Sunday, May 5, 2013

TANZANIA YETU INAENDA WAPI JAMANI?

Nimoja yamatukio yakusikitisha yanayoendelea kutokea nchin kwetu ambayo hatujui mwisho wake itakuwaje lakin kikubwa tumuombe mungu atusaidie tu
Hili nikanisa lililopo huko Arusha ambalo lilikuwa linazinduliza leo lakin shughuli iliingia mchanga hasa pale mtu asiye fahamika alipo rusha bomu lamkono nakusababisha watuwengi kuumia nakupelekwa hispitali huko Mount MERU!!