Polisi wamefanya msako wakustukiza katika eneo la kariakoo hasa eneo lenye machangudoa wengi na kufanikiwa kuwakamata machangudoa kibao ambao walikua wanafanya biashara hiyo katika eneo hilo
kitukingine kilicha washangaza polisi ni pale vidume waliokua nao walipo anzakutimua mbio kwa kukimbia msala huo na walipo kua wanakimbia walikua wanasema maneno yafuatayo"simkamate hao machangudoa kwasababu wao ndo wanavaavinguo vifupi sasa wanategemea nini na unajua sisiwanaume tumeumbwa kwa kutamani???alisikika akisema kidume mmoja alipokua anakimbizwa na polisi hao
machangudoa hao wengi walio kamatwa sio watanzania ni wanyarwanda na warundi kutoka burundi nao niii??natasha bahati 30,{mrundi},asma athman23{mrundi},ninyonkuru29{mnyarwanda},zaimana 20{mnyarwanda} na wabongo 30
Machangudoa hao walifikishwa mahakaman na wote kukataa mastraka hayo lakini wote wamepelekwa kesi hiyo segerea hadi pale kesi yao itakapo tajwa tena
Na walivyo kua wana hojiwa babla yakujua kama ni maafande kwa sababu walikua wamevaa kiraia na maongeza yalikua hivi polisi alivyo mhiji na changudoa bila yakujua ni polisa kwanini unajiuza??? changu mbona unamaswali mengi kwani wewe ni polisi??

No comments:
Post a Comment