Total Pageviews

Sunday, June 2, 2013

NISHA AWACHIZI

Msanii anayekuja kwakasi katika tasnia ya bongo movies kwajina la NISHA anaendeleza ukali wake wakucheza movies ambapo yupo mzigoni akicheza movies yake mpya inayo itwa "nesi selena"ambayo imefanyika katika campunu yake na nisha alipata kuongea na blog hii nakusema kua hii ndio movi ngumukucheza kwake kwani katika movi hii amepewa scen ya kucheza kama chizi
     HIZI NDIZO PICHA AMBAZO NISHA ALICHEZA KAMA CHIZI KATIKA MOVIE HIYO MPYA


No comments:

Post a Comment