Baada ya story nyingi kusambaa kwenye mitandao kwamba msanii Mr Nice ambaye sasa ameweka makaziyake nchini kenya akiwa chini ya record lebo ya huko ambapo story ambazo zilikuwepo nikwamba msanii huyo ameachana na record hiyo kwa kisacha kuwamlevisana,kupenda wanawake sana ,na kuwamgomvi na kusababisha kuachana na record hiyo ya grandpa.
Habari tulizozipata kutoka grandpa record nikwamba wameachana na ye kwa sababu ya kuwa na record leb mbili ambazo zote zipo active nakuongeza kuwa inakuangumu kummanage mtu ambaye yupo kwenye record mbili na kukanusha taarifa ambazozilikua zimesambaakwenye mtandao.

No comments:
Post a Comment