Total Pageviews

Monday, June 3, 2013

MASHINDANO YA KISSING CHINA:WANAWAKE WAZIMIA BAADA YA KUKISS KWA MUDA MREFU

Mashindano ya kukiss kwamda mreru yaliyo fanyika huko china ya zua kizazaa baada ya wanawake kuzimia kwa kukisiana kwa muda mrefu
huyu kwa style yake amkunja mpenzi wake kwelikweli iliwaweze kushinda
huyu nae mguu begani hukukashika kiuno duuuuu
Huyu aanua miguu kuizungushia kwanyuna chezea hela weyeeeeeeee
baada ya kises kuwa nyingi na mikunyo mikali ndipo wanawake wale walipo anza kuzimia
wasamaria wema wakitoa msaada wa kuwapeleka hospitali
           Ikumbukwe kua shindano hili liliandaliwa kumpata mshindi ambaye anaweza kukiss kwa muda mrefu na alitakiwa kupata kitita cha shilingi million 15 za kitanzania lakini sio tu kukiss kwa mudamrefu bali na kwa style tofauti.

No comments:

Post a Comment