Hili ni mojawapo ya gari lilopata ajali
Mhanga waajali hiyo akiwa kaumia vibaya mguu
wasamaria wema wakitoa msaada katika ajili hiyo
Hili ni mojawapo ya magari hayo yaliyopata ajali maeneo ya Maseyu ambapo ajali hiyo ilitokea kwenye barabara ya Dar es salaam Morogoro ambapo ilijumuisha magari matatu ambayo yalisababisha kufungwa kwa barabara hiyo kwamda.
Ajali hiyo imepelekeo vifo vya watu watano
No comments:
Post a Comment