Hawa wanaitwa kanga moja laki sio pesa hawa walikua na aina yao ya uchezaji ya kujifunga kanga moja nyepesi alafu inamwagiwa maji nakufanya maungo yao kuone kana .Kundi hili juzi juzi lilifungiwa na serikali kwani kwani lilikua nikama la udhalilishaji na hasapale ambapo walikua wanacheza hatambele ya watoto na kitukingine lilikua ni kichochezi kukubwa changono kwani kwa jinsi walivyo kua wanacheza ilikua ni lazma mwanaume utamani.TOA MAONO YAKO KUHUSU USHWZAJI HUU
No comments:
Post a Comment