Total Pageviews

Sunday, June 2, 2013

ANGALIA PICHA 5 ZA ROSE NDAUKA AKIWA ANAANDAA KIPINDI CHAKE CHA TV

Rose ndauka akiwa katika pouse la kusoma maada katika kipindi chake cha tv
WAKIWA KATIKA PROCESS ZA KUTENGENEZA KIPINDI HICHO
ROSE AKIENDELEA KURECORD KIPINDI CHAKE
HAPA WAKIWA WOTE WALIOKUA WANASHIRIKI KUANDAA KIPINDI 
HAPA ROSE AKIWA KAPIGA PICHA NA WASHIRIKI WAKE
    Rose ndauka anampango wakuja nakipindichake cha tv lakini haikujulikana kitakua kinarushwa kituo gani na hicho kipindi kitakua kinahusu nini lakini kama mpenzi wa rose ndauka unaombwa kufuatilia blog hii kwani itakupa majibu ya maswali yote uliyo kua nayo

No comments:

Post a Comment