Total Pageviews

Wednesday, June 12, 2013

MAKAHABA WA VIWANGO WAPO HUKU ANGALIA PICHA ZAO 3

Hii imetokea huko nchini kenya ambapo kutokana na ugumu wamaisha wanafunzi wa vyuo wanadiriki kujiuza iliwapate hela yakujikim na wengine walidiriki hatakufanya mapenzi na mbwa huko mombasa ili waweze kupata hella!!kutokana nahali hii inaonekana nijinsi gani hela nichanzo cha maovu

ANGALIA PICHA 3 ZA ROMA MKATOLIKI AKIWA NA MWANAE NA MPENZI WAKE

Nimarachache sana wasanii wa kibongo kuonyesha picha za wapenzi wao na watoto wao lakini hi imekua tofauti kwe R.O.M.A.mkatoliki ambapo alituonyesha picha zake akiwa na wife wake
                             picha na mtuwangu wa nguvu millard ayo thanks bro.

Sunday, June 9, 2013

HIZI NDIZO HABARI KUBWA KWENYE MAGAZETI YA TANZANIA JUNE 9 2013


WIZI MBAYA ANGALIA HAPA UONE WALICHO FANYIWA HAWA

hii imetokea huko ghana ambako wanawake wawili walikamatwa waki iba palm oil supermarket na kupewa adhabu ya kuwekewa mafuta hayo kwenye mapaja yao na kufungwa mikono. kusema ukweli sio kitendo kizuri kwa walivyo fanyiwa na hatahivyo kuibasio vizuri

Saturday, June 8, 2013

MR.NICE ATEMWA GRANDPA RECORDS NAKUZIKOSA ZAIDI YA MILLION 141

Baada ya story nyingi kusambaa kwenye mitandao kwamba msanii Mr Nice ambaye sasa ameweka makaziyake nchini kenya akiwa chini ya record lebo ya huko ambapo story ambazo zilikuwepo nikwamba msanii huyo ameachana na record hiyo kwa kisacha kuwamlevisana,kupenda wanawake sana ,na kuwamgomvi na kusababisha kuachana na record hiyo ya grandpa.
      Habari tulizozipata kutoka grandpa record nikwamba wameachana na ye kwa sababu ya kuwa na record leb mbili ambazo zote zipo active nakuongeza kuwa inakuangumu kummanage mtu ambaye yupo kwenye record mbili na kukanusha taarifa ambazozilikua zimesambaakwenye mtandao.

Tuesday, June 4, 2013

MWILI WA MAREHEM NGWEA WATUA DAR MAELFU WAJITOKEZA KUMPOKEA

Mwili wamsanii albert mangweha umetua jijini dar es salaam mida ya saanane mchana na maelfu ya watu walifika kuupokea mwiliwa msanii huyo
msanii mwenzake madee
msanii keisha
huyu hapa juu ni ambaye keshawahi kuwa manager wake