Total Pageviews

Wednesday, May 29, 2013

ZIJUE SHOW ZILIZO PANGWA KUFANYIKA TAREHE 30 LAKINI ZIMEGHAIRISHWA KUTOKANA NA MSIBA:

     Rapper joe makini kutoka A town akiwakilisha river camp na akiwa chini ya compuni ya weusi alikua na plani ya kuachia single yake mwisho wa mwezi huu yani tarehe 30,5,2013 ametoa new info na info ambazo bongo info imezipata kutoka kwa joe nikwamba hatoweza kuachia tena hiyo single yake kutokana na msiba mkubwa ulio likumba taifa na tasnia ya muzik wa bongo flaiver wa kufiwa na msanii na rapper mwenzao ALBERT NGWEAR.
            kutokana namsiba huo umemlazimu joe kustop ku release hiyo single yake ambayo ilikua inasubiriwa kwa hamu na mashabiki wake na kuwaambia mashabiki wake single hiyo ata irelease rasmi baada ya msiba kuisha R.I.P   ngwear.







                  Na kwaupande mwingine wasanii mbalimbali waliokua wanatakiwa kufanya show zao mwisho wa mwezi huu wamelazimika kuzi ghairisha kutokana na kuondokewa na msanii mwenzao kwenye game hii ya music wa bongo.
                  Hapa nazungumzia kundi la KIKOSI CHA MIZINGA ambao walikua wafanye show yao pale msasani club tarehe 30 ya mwezi huu wamelazimika kughairisha show yao kutokana na msiba huu mzito.Ikumbukwe show hiyo ya kikosi ilikua ni yakutimiza miaka 13 ya kikosi

                Naye rapper mwingine wa hapa bongo amelazimika kughairisha show yake ambayo alikua ameipa jina la "THE FINEST"  hapa namzungumzia mwana falsafa au unaweza kumuita MWANA FA.show hii ilikua ifanyike tarehe 30 ya mwezi huu pale club 71 iliyopo maeneo ya tegeta.kutokana na msiba huu umemfanya FA kughairi show hiyo na bado haijafahamika itakua ni lini

      FOR MORE INFO STAY HERE AT BONGO INFO.COM

1 comment:

  1. najiuliza swali ni kwann shoz zote zilikua zifanyike tarehe 30??? anayejua aniambie

    ReplyDelete