Dar es salaam,mpenzi wa katibu mkuu dr Willbrod slaa Josephine ameshinda rufaa ya kesi iliyofunguliwa na aliyekua mumewe wa ndoa Aminiel mahimbo
Josephine kwa sasa anaishi na dr slaa na wameshafanikiwa kupata mtoto mmoja,lakini harakati zao zakufunga ndoa zimekua ngumu baada ya kupingwa na mbunge wa viti maalumu wa chadema Rose kamili akidai kua anandoa halali na dr slaa.
Mahimbo alikata rufaa katika mahakama ya wilaya ya kinondoni akipinga hukumu ya mahakama ya mwanzo ya sinza iliyo toa talaka kwa josephine dhidi yake mwaka 2012
Hatahivyo kesi hiyo ilisikilizwa tena jana hakimu Aniseth ilitupilia mbali rufaa hiyo nakusema amerithika na fufaa ya mahakama ya mwanzo ya sinza na kusema kulikua na ushahidi wakutosha wa utoaji wa talaka
hiyo
source mwananch news paper 28,2013

No comments:
Post a Comment