Total Pageviews

Friday, May 31, 2013

M2THE P AKIWA ANAENDELEA VIZURI HOSPITAL NA HAJAFA KAMA ILIVYO KUA INASEMWA SO SHARE NA WENZAKO ILI WAJUE KUA BADO YUPO HAI!!!

Huyu ni M2THE P ambaye alikua na ngwea na kwa habari za mitandaoni zinasema alikufa bt sio kweli yupo hai na anaendelea vizuri kwani ameweza kupumua bila mpira wa oxygeni lakini bado yupo hospitali so chamsingi ni yupo na yupo hai so share hii picture ili wenzako wajue kua M2THE P yupo hai na hajafa!!!!!

Wednesday, May 29, 2013

HII NDIO TAARIFA YA JOHN MAGUFULI KUHUSU KUGOMBEA URAIS 2015

Siku chache baada ya waziri wa Africa masharik Samuel sitta kumhusisha waziri wa ujenzi John Magufuli kugombea urais 2015,Waziri huyo ameibuka na kupinga kauli hiyo kwa kusema kua hakuwahi kufikiria kitu kama hicho.

   Waziri wa Africa mashariki alinukuliwa akiwataja mawaziri wenzake ambao wata gombea kiti hicho cha urais ni yeye Samuel sitta,Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Bernad Membe,Waziri wa uchukuzi Dr,harrison mwakyembe ambapo sitta alisema watachagua mmoja kati ya hao ambaye atagombania urais mwaka 2015.Alisema hayo juzi kwenye kongamano katika nyanja za digitali kwa wanafunzi wa mawasiliano wa st augustino{SAUTI}

     Alisema hato gombea tena ubunge baada ya kua katika ulingo kwa miaka 35 na ataangalia namnanyingine ya kuwatumikia wana nchi na ndipo alipo gusia suala la uraisi na kusema anamuachia mungu alisema SAMUEL SITTA

      Kauli ya waziri wa ujenzi John magufuli akiwa nje ya jengo la bunge dodoma alisema kua hana mpango wakugombea urais na hajui lolote kuhusu mchakato wa urais na haelewi kauli ya waziri mwenzake huyo.

      Magufuli alisisitizia kua hana kundi na hajawahi kuhudhuria kikao cha kundi lolote na hatarajii kua na kundi lolote.Ninachojua kundilangu ni CCM na mwenyekiti wake ni jakaya kikwete.

       JE KATIKA LISTI ILIYO TAJWA HAPO JUU YA WAGOMBEA URAIS UNADHANI YUPI ANAWEZA KUICHUKUA NCHI KAMA AKIPEWA NAFASI???
         TUANDIKIE COMMENT ZAKO HAPA CHINI KWA YEYOTE ULIYE SOMA HII POST NA KUIELEWA

UPO UWEZEKANO WA KUPATA RAIS MWANAMKE,2015???????

Kuelekea chaguzi mkuu 2015 ambapo raisi aliyekua mabarakani mweshimiwa JAKAYA MRISHO KIKWETE ndipo utakua mwisho wa utawala wa mweshimiwa kutokana na katiba ya Tanzania ambapo rahisi anatakiwa kutawala kwa kipindi cha awamu mbili alafu kuachia madaraka. kwa raisi aliyekuwepo tunaona ndo anaelekea mwisho wa utawala wake
Kumekuwa na maswali mengi kuhusu jee Tanzania itaweza kutokea raisi mwanakee ni swali ambalo wengi walikua wana jiuliza na bado hawana majibu lakini kwa uchunguzi ulio fanywa na bongo info inaonekana nivigumu kuwa na raisi mwanamke kwasababu mbali mbali zilizo tolewa na waheshimiwa mbalambali kama walivyo eleza hapa chini

MBUNGE WA GHANDO {CUF}Alisema kwamba nikujidanganya kwamba Tanzania itakua na raisi mwanamke kuelekea 2015 anasema pamoja na wanawake kupewa kipaumbele kwenye uwanja wa siasa hakuna jitiada za wazi zinazo onyeshwa na wanawake kutaka kugombea uraisi .Napia akaongeza kua mfume dume uliopo pia unachangia kuwanyima wanawake fursa hiyo ya kugombea uraisi na haoni na hadhani kama kuwa na mgombea mwanamke

NAYE WAZIRI WA ARDHI,NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI,PROFESAR ANNA THIBAIJUKA,Alikiri kuwa hadi sasa hakuna juhudi za wazi kwa wazi kwa mwanamke kuchukua kiti hicho cha urahisi ifikapo 2015

Alisema hayo kutokana na ukweli kwamba hakuna aliyejitokeza wazi wazi kutaka kugombea lakini akamaliza kua wenye uamuzi wakuamua iwehivyo ni wananchi

Lakini akasema kwamba tangu raisi Jakaya Kikwete aingie madarakani amekua anahakikisha kua wanawake wanapata nafasi za juu katika nyanja ya kisiasa na zakiserikala

ZIJUE SHOW ZILIZO PANGWA KUFANYIKA TAREHE 30 LAKINI ZIMEGHAIRISHWA KUTOKANA NA MSIBA:

     Rapper joe makini kutoka A town akiwakilisha river camp na akiwa chini ya compuni ya weusi alikua na plani ya kuachia single yake mwisho wa mwezi huu yani tarehe 30,5,2013 ametoa new info na info ambazo bongo info imezipata kutoka kwa joe nikwamba hatoweza kuachia tena hiyo single yake kutokana na msiba mkubwa ulio likumba taifa na tasnia ya muzik wa bongo flaiver wa kufiwa na msanii na rapper mwenzao ALBERT NGWEAR.
            kutokana namsiba huo umemlazimu joe kustop ku release hiyo single yake ambayo ilikua inasubiriwa kwa hamu na mashabiki wake na kuwaambia mashabiki wake single hiyo ata irelease rasmi baada ya msiba kuisha R.I.P   ngwear.







                  Na kwaupande mwingine wasanii mbalimbali waliokua wanatakiwa kufanya show zao mwisho wa mwezi huu wamelazimika kuzi ghairisha kutokana na kuondokewa na msanii mwenzao kwenye game hii ya music wa bongo.
                  Hapa nazungumzia kundi la KIKOSI CHA MIZINGA ambao walikua wafanye show yao pale msasani club tarehe 30 ya mwezi huu wamelazimika kughairisha show yao kutokana na msiba huu mzito.Ikumbukwe show hiyo ya kikosi ilikua ni yakutimiza miaka 13 ya kikosi

                Naye rapper mwingine wa hapa bongo amelazimika kughairisha show yake ambayo alikua ameipa jina la "THE FINEST"  hapa namzungumzia mwana falsafa au unaweza kumuita MWANA FA.show hii ilikua ifanyike tarehe 30 ya mwezi huu pale club 71 iliyopo maeneo ya tegeta.kutokana na msiba huu umemfanya FA kughairi show hiyo na bado haijafahamika itakua ni lini

      FOR MORE INFO STAY HERE AT BONGO INFO.COM

HAYA NDIO MANENO YA JIDE BAADA YA KIFO CHA NGWEA KUHUSU ILE SHOW YAKE YA KUTIMIZA MIAKA 13

                           Ile show kubwa ya mwana dada {bint machoz}lady j dee ya kutimiza miaka 13 ambayo ilipangwa kufanyika kwenye mgahawa wake pale nyumbani lounch mnamo tarehe 31 mwezi huu.
                            hii show imehairishwa rasmi na mwana dada huyo mkongwe wa muziki huu wa bongo baada ya kuondoka kwa mkongwe mwingine wa mziki huu Albart mangwea na kutokana na hali hii imekua vigumu kwa hiyo show kuendelea kama ilivyo kua imepangwa na imebidi ihairishwe hadi mazishi ya ngwea yatakapo fanyika then ndipo hapo ita tangazwa upya itakua tarehe ngapi. 
               REST IN PEACE NGWEA
lets say AMEN TO HIM

UJUMBE MZITO WA MAJAN KUHUSU KIFO CHA NGWEAR

najua hapo ishaeleweka

Tuesday, May 28, 2013

R.I.P ALBART NGWEAR

Kwahabari zilizotufikia kutoka pretoria south africa ambako msanii albart mangwea alikua huko na msanii mwemzake M2THE P
Zimetufikia habari mbaya kwamba msanii mkongwe wa muziki huu wa bongo fleiver ilikutwa amefariki baada ya kuji over doze madawa na mwenzake akiwahoi na kakimbizwa hospitali.
 Ikumbukwe walikua katika jiji la pritoria. fuatilia blog hii kwa info zaidi
      Mungu ailaze roho ya ngwear mahali pema peponi

MPENZI WA DR SLAA ASHINDA KESI YA TALAKA

Dar es salaam,mpenzi wa katibu mkuu dr Willbrod slaa Josephine ameshinda rufaa ya kesi iliyofunguliwa na aliyekua mumewe wa ndoa Aminiel mahimbo
     
             Josephine kwa sasa anaishi na dr slaa na wameshafanikiwa kupata mtoto mmoja,lakini harakati zao zakufunga ndoa zimekua ngumu baada ya kupingwa na mbunge wa viti maalumu wa chadema Rose kamili akidai kua anandoa halali na dr slaa.

          Mahimbo alikata rufaa katika mahakama ya wilaya ya kinondoni akipinga hukumu ya mahakama ya mwanzo ya sinza iliyo toa talaka kwa josephine dhidi yake mwaka 2012
          
        Hatahivyo kesi hiyo ilisikilizwa tena jana hakimu Aniseth ilitupilia mbali rufaa hiyo nakusema amerithika na  fufaa ya mahakama ya mwanzo ya sinza na kusema kulikua na ushahidi wakutosha wa utoaji wa talaka 
hiyo

        source mwananch news paper 28,2013

Monday, May 27, 2013

NI RASILIMALI AU PEPO?????

                           Bara la Afrika ni bara la pili kwa ukubwa na ni bara ambalo limebarikiwa na mwenyezi mungu kwani lina kila aina ya madin na rasilimali nyingi sana tena zile muhimu za kujenga uchumi wa nchi lakini chakushangaza hil ibara la kwanza kuwa na rasilimali nyingi ndio limekuwa lamwisho kuwa na uchumi mbovu kuliko mabara yote.
        Bara la afrika kwa kiasi kikubwa linakabithiwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe kwani chanzo kikubwa cha hizo ugomvi ni rasilimali tulizokua nazo kwakuthibitisha hilo tunaweza kuangalia nchi mbalimbali za africa kama vile NIGERIA ni nchi ambayo imebarikiwa kua na mafuta nchi nyingine ni DEMOCRATIC REPUBLIC OF CONGO,hii ni nchi ambayo miaka ya nyuma kabla hawaja anza vita ndio ilikua inadhaniwa kuja kua yakwanza kwa kua na maendeleo makubwa zaidi lakini chakusikitishwa leo ndio karibia ya mwisho kwani nchi hii ni vita kilasiku kwani wana utajiri mkubwasana wa madini
          Tanzania yetu sasa, duniani ni nchi ambayo imebarikiwa kuwa na rasilimali nyingi lakini bado nchi yetu kiwango chaukuaji wa uchumi ni kidogo sana na kwa sikuzakaribuni imekua ishaanza kuingiliwa na pepo lisilojulikana ni la dizain gani kwani kwasiku za karibuni kumekuwa na sintoeleweka hasa kusini mwanchi kwani kumekua na machafuko na kikubwa ukiangalia chanzo ni rasilimali zetu wenyewe kwani hili eneo limegunduliwa lina kiasi kikubwa cha gas na inaubora mzuri kama ile ya urusi
        sasa swali ni je hizi rasilimali zetu zitatupeleka wapiiii?????
        Raisi museven alipo kua anazindua mradi wa kuchimba mafuta katika ziwa natron alitoa speech ndefu sana nakueleza nijins igani rasilimali zinavyo weza kugawa nchi na bara kwaujumla.
            picha hapojuu ni machafuko ya hivi karibuni yaliyo tokea kule mtwara chanzo ni rasilimali.tukumbuke hata sudani hali ilikua hivihivi hadi wakafika kugawana nchi yao na sisi tusipo angalia hali itafika huko 
                          MUNGU IBARIKI AFRICA MUNGU IBARIKI TANZANIA

INASIKITISHA SANA KWELI HUJAFA HUJA UMBIKA

                     kwajina anaitwa EMMILY asiliyake ni huko mtwara kusani mwa tanzania ndipo alipo kulia na kusomea huko hadi kidato channe ambapo alimaliza mwaka 2009 ndipo alipo feli na kuamua kuja jijini dar kwa mama mdogo wake ambapo mama mdogo wake huyo alimuahidi kumuendeleza kimasomo ndipo wazazi wake wakamruhusu kwasababu walikua hawana uwezo wakumuendeleza . Emmily alienda katika jiji hilo la dar ambapo alikua anaishi Mwenge kwamda tokea atoke kule mtwara kwasababu mamayake yule mdogo biashara alizokua anafanya zilikua haziendi vizuri ndipo Emmily alikua nyumbani akisubiri kwa hamu kurudi shuleni lakini kipindi anasubiri hayo ndipo alikua anapata majaribu memngi hasa yale ya kutongozwa na wanaume mbalimbali kwasababu alikua mzuri sana.Emmily alichoka kua mpweka na kuamua kumkubali mkaka aliyekua anamsumbua kwa mda mrefu lakini walikubaliana kuwa na uhusiano bila ya kufaya mapenzi na walifanikiwa kukaa katika hali hiyo kwa mda wa miezi sita lakini yule kaka alishindwa na kuanza kumbembeleza Emmily lakini Emmili alikua hayupo teyari kufanya tendo hilo kwani aliamini wanaweza kuishi bilakufanya hivyo hadi watakapo oana.
               Ilikua nisiku ya jumamosi ndipo mpenzi wake na Emmily alipo muomba waende out na Emmily kwenda kumuomba mama yake mdogo na kumruhusu ndipo walipo enda club maarufu na kukaasehemu ya pekeyano.Mezani kulikua na vinyaji vya aina nyingi lakini Emmily alikua sio mtumiaji wa vilevi lakini yule mpenzi waka alimshawishi sana Emmily kunywa hata kidogo na ndipo alikua anamywesha kidogo kidogo hadi Emmily akafanikiwa kunywa chupa mbili za bia nakuanza kupata stimu na nyingine kuanzakunywa mwenyewe hadi kufikisha tatu ndipo Emmily alipo lewa na ilikua ishafika majira ya saa 8 ndipo waliamua kuondoka  nakuchukua tax hadi kwa boyfiendi wake na Emmily na walipo fika Emmily alianza kumshawishi yule boy wake wafanye mapenzi hatakidogo na boy wake kukubali kwani yeye alikua hajapanga kufanya hinyo kwani alijua kufanya hivyo kunge mchukiza mpezi wake
                Ndipo alizidi sisitizia boy wake na kufanya bila hatakutumia condom na ndipo Emmily alipo jua kumbe pombe ni shetani kwani alifanya kitu ambacho hakupenda kufanya.
              Zikapita kama siku tatu ndipo boy wake akamtumia sms inasomeka ANZAKUISHI KWA MATUMAINI KWANI MIMI NIMEATHIRIKA NA UKIMWI
             Emmily hakuamini kwani niugonjwa ambao alikua anausikia kwa watu na hakuwahi kufikiria kuja kuupata{hujafa hujaumbika} Emmily alijifungia ndani kwasiku tatu na ndipo alipo amua kudhibitisha na kwenda kupima na majibu kweli yalikuwa yanaonyesha Emmily ameathirika na gonjwa la UKIMWI na yule boy wake alihama mji na kwenda kuishi Arusha.
          Emmily akaamuakumpigia simu nakumuuliza kwann alimfanyia hivyo na kumjibu yeye mwenyewe aliambukizwa na dada flan so alikua anatafuta wakufa naye kutokana na kauli hiyo ilimuumiza sana Emmily kwani ndo ilikua marayake yakwanza na ndipo alipo amuana yeye kutafuta wake wakufa nao
           Emmily alianzakuwakubalia hata wale ambao aliwakataaa ana hata kudiriki kutembea na mbaba mtumzima mwenye wake wa 3 kwani huyo mzee alikua anamsumbua sana na siku hiyo mzee alikubaliwa alifurahisana nakuamua kumpa laki 6 kama zawadi wakati huo Emmily ana waonea huruma wakezake kulenyumbani kwani watapata ugonjwa ambao hauwahusu.
          Hadi mwezi mmoja unaisha Emmily alikua kesha tembea na wanaume 1500 wa hapa dar na alikua na uhakika kawaachia hilo gonjwa kwani alikua mzuri sana na kwakumwangalia kwa macho ilikua ni vigumu kujuakama ni mwathirika wa ukimwi.Emmily aliweza kutimiza idadi hiyo kwani kwasiku alikua anaweza kutembea na wanaume wa 5 na chakusikitishazaidi ni vijana wadogo sana ndio alikia anatembea nao
           Kwasasa Emmily kaokoka na kakabithi maisha yake kwa yesu kwani kesha acha kusambaza hilo gonjwa na maranyingi huwa ana umia sana kwani kesha zika watu kama wa 4 ambao alitembea nao na anakuaanajua fika wamekufa na chanzo ni yeye
           Emilly alipo okoka aliombewa na kutolewa mapepo mengi hadi wachungaji wakashangaaa
                                                   EMMILY ANA WOSIA KWA WOTE WANAO SOMA HII STORY YAKE.
            Emmily anapenda kuwaambia na muwaambie na wengine kwamba KUNYWA POMBE, KWENDA DISKO,KUUZA POMBE NI DHAMBI NA CHOCHOTE KILE KINACHO HUSU DHAMBI NI DHAMBI
           Emmily anasema tokea aokoke hajawahi kufanya mapenzi tena na hayupo teyari kuolewa kwan kunawanao taka kumuoa kwani hawajui kana ana ukimwi  na hasa anawahasa nyie wa baba wenye waka ,wenye wachumba,wakezawatu  tulieni acheni kutoka nje ya uhusiano mliokua nao kwani mlikubaliani nyie ni washida na raha
 Fuata unachofundishwa kanisani na soma sana bibilia na uwemtakatifu


                 MUNGU AKUBARIKI



                 NI MIMI EMMILY


               Mwenge,dar es salaam
               TANZANIA

Sunday, May 5, 2013

TANZANIA YETU INAENDA WAPI JAMANI?

Nimoja yamatukio yakusikitisha yanayoendelea kutokea nchin kwetu ambayo hatujui mwisho wake itakuwaje lakin kikubwa tumuombe mungu atusaidie tu
Hili nikanisa lililopo huko Arusha ambalo lilikuwa linazinduliza leo lakin shughuli iliingia mchanga hasa pale mtu asiye fahamika alipo rusha bomu lamkono nakusababisha watuwengi kuumia nakupelekwa hispitali huko Mount MERU!!

Saturday, May 4, 2013

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE MWAKA JANA

Hatimaye waziri anayehusika na secta ya elimu jana alitangaza bungen kuwa matokeo ya kidato cha nne kwa mwaka jana yatarudiwa kusahihishwa upya kwakutumia mfumo uliotumika mwaka jana.Kwataarifazaidi endelea kufuatilia blogg yako pendwa hasa kwa info za ki uanafunzi zaidi.